Job Role Insights

  • Date posted

    2026-06-17

  • Closing date

    2026-06-23

  • Hiring location

    Zanzibar

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    135798

Job Description

The Office of the Chief Government Statistician (OCGS) Zanzibar is an autonomous government agency the office of chief government statistician act, 2007 legally mandated to serve as the central authority the office of chief government statistician act, 2007 for collecting, analyzing, and publishing official national statistics the office of chief government statistician act, 2007 for the semi-autonomous archipelago of Zanzibar Office of the Chief Government Statistician (OCGS) (Zanzibar).

The total number of job posts listed here for the Office of the Chief Government Statistician Zanzibar (Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar - OCGS) is 10 posts.

Job TitlePosts
Pemba Openings
Mtakwimu Daraja la Pili (Statistician Grade II)3
Afisa TEHEMA / IT Daraja la II (ICT Officer Grade II)1
Mtunza Ghala Daraja la III (Storekeeper Grade III)1
Unguja Openings
Data Science Daraja la II (Data Scientist Grade II)2
Mkutubi Daraja la Pili (Librarian Grade II)1
Actuarial Science Daraja la II (Actuary Grade II)1
Mtakwimu Daraja la Pili (Statistician Grade II)1
TOTAL POSTS10

OFISI YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI

Vacancies: 7  |  Latest closing: Jun 23, 2026 Apply

Afisa TEHEMA(IT) Daraja la II-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG – 08

Duties and Responsibilities

  • Kusimamia mifumo ya TEHAMA, pamoja na vifaa.
  • Kuweka, kukarabati, na kufanya matengenezo ya vifaa vya kompyuta, modems, printers, na vifaa vingine vya TEHAMA.
  • Kulinda taarifa za taasisi dhidi ya mashambulizi ya mtandao, virusi vya kompyuta, na vitisho vingine vya usalama wa mtandao.
  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia, programu, na vifaa vya TEHAMA.
  • Kuandaa programu maalum zinazotumika kuboresha shughuli za taasisi.
  • Kufuatilia na kutatua matatizo ya kiufundi yanayojitokeza kwenye vifaa au mifumo ya TEHAMA.
  • Kufanya        kazi     nyengine      zinazolingana         na       majukumu    yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake

Qualifications

Awe na Shahada ya Information Technology, Computer Science, Computer Engineering

Awe na uwezo wa kusimamia mifumo ya kompyuta na mitandao.

Awe na ujuzi wa matengenezo ya vifaa vya TEHAMA.

Apply for this position


Mtunza Ghala Daraja la III-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSD – 03

Duties and Responsibilities

  • Kuhakikisha usafi na usalama wa Ghala.
  • Kupokea, kuhifadhi, na kuhakikisha usahihi wa bidhaa zinazohifadhiwa.
  • Kudhibiti na kufuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka kwenye ghala.
  • Kuweka alama na kumbukumbu za bidhaa zilizopo kwenye ghala.
  • Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha ubora na usalama wa bidhaa.
  • Kuhakikisha matumizi sahihi ya vifaa na zana za kuhifadhi.
  • Kufanya        kazi     nyengine      zinazolingana         na       majukumu    yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe na Stashahada katika fani ya Manunuzi na Ugavi (Procurement and Supplies Management, Logistics au fani inayohusiana.

Awe na uwezo wa kutunza vifaa vya ghala na kumbukumbu zake.

Awe mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi.

Apply for this position


Mtakwimu Daraja la Pili -PEMBA

Posts: 3  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG – 06

Duties and Responsibilities

  • Kuandaa au kutayarisha dodoso la kukusanyia taarifa
  • Kufanya uchambuzi wa takwimu zilizokusanywa
  • Kusaidia kutengeneza mfumo wa kuingizia taarifa za kitakwimu
  • Kushiriki kuzifanyia uhariri na kuzisafisha taarifa za kitakwimu
  • Kusaidia kuandika ripoti ya matokeo ya takwimu zilizozalishwa
  • Kufanya        kazi     nyengine      zinazolingana         na       majukumu    yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake

Qualifications

Awe na Elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu katika chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanziba

Awe na Uwezo mzuri wa kutumia Kompyuta

Awe na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea

Asiwe muajiriwa wa Serikali

Awe na umri usio zidi miaka 40

Awe Mzanzibar Mkaazi

Apply for this position


Mkutubi Daraja la Pili -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG – 06

Duties and Responsibilities

  • Kuhakikisha nyaraka zote zinahifadhiwa kwa usalama na zinapatikana kwa urahisi wakati wa kuhitaji.
  • Kuhakikisha ufasaha na usahihi wa maandishi yaliyotengenezwa.
  • Kuhifadhi na kupanga nyaraka kwa njia inayowezesha upatikanaji rahisi wakati wowote.
  • Kufanya kazi za usimamizi wa nyaraka na hati za ofisi kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
  • Kufuatilia na kuhakikisha nyaraka zinasimamiwa kwa usahihi na kwa wakati.
  • Kutoa msaada wa kiutawala kwa timu na menejimenti..
  • Kufanya        kazi     nyengine      zinazolingana         na       majukumu    yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe na Shahada ya Library and Information Studies au fani inayohusiana.

Awe na uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka.

Awe na ujuzi wa matumizi ya mifumo ya maktaba ya kisasa.

Apply for this position


Actuarial Science Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG – 08

Duties and Responsibilities

  • Kuchambua na kubaini vihatarishi katika matumizi ya takwimu.
  • Kuendeleza na kutumia mifumo ya uchambuzi wa Takwimu za kifedha kwa ajili ya kuthibiti hatari zinazoweza kutokea.
  • Kufuatilia Mabadiliko ya Sheria na Sera zinazohusiana fedha.
  • Kutoa elimu kuhusu vihatarishi katika matumizi ya takwimu ili kuwasaidia Ofisi kufanya maamuzi sahihi.
  • Kufanya         kazi     nyengine       zinazolingana na       majukumu     yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake

Qualifications

Awe na Shahada ya Actuarial Science, Mathematics, au fani inayohusiana.

Awe na uwezo wa kufanya uchambuzi wa vihatarishi na matumizi ya takwimu.

Uwezo wa kutumia mifumo ya uchambuzi wa kifedha utakuwa ni faida ya ziada.

Apply for this position


Data Science Daraja la II-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG – 08

Duties and Responsibilities

  • Kukusanya na Kuandaa taarifa kutoka vyanzo tofauti kama vile database, API.
  • Kutumia mbinu za takwimu na uhusiano wa data kubaini mifumo, mwenendo, na matukio muhimu.
  • Kuendeleza na kutumia modeli za kujifunza kwa mashine ili kutabiri matukio au kubaini mambo muhimu katika data.
  • Kusaidia kuanzisha mifumo bora ya kuhifadhi na kusimamia Taarifa (data).
  • Kutoa Mafunzo na Ushauri kuhusu matumizi bora ya data na mbinu za uchambuzi.
  • Kufuatilia maendeleo ya Teknolojia ili kubaini mpya katika uwanja wa data science.
  • Kufanya        kazi     nyengine      zinazolingana         na       majukumu    yake   kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe na Shahada ya Data Science, Computer Science.

Awe na uwezo wa uchambuzi wa data kubwa (Big Data).

Awe na ujuzi wa matumizi ya mifumo ya TEHAMA na programu za uchambuzi wa data.

Apply for this position


Mtakwimu Daraja la Pili-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 23, 2026 Apply  |  Period: 16/06/2026 - 23/06/2026  |  Scale: ZPSG-06

Duties and Responsibilities

  • Kuandaa au kutayarisha dodoso la kukusanyia taarifa
  • Kufanya uchambuzi wa takwimu zilizokusanywa
  • Kusaidia kutengeneza mfumo wa kuingizia taarifa za kitakwimu
  • Kushiriki kuzifanyia uhariri na kuzisafisha taarifa za kitakwimu
  • Kusaidia kuandika ripoti ya matokeo ya takwimu zilizozalishwa
  • Kufanya kazi     nyengine    zinazolingana    na    majukumu      yake    kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe na Elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu katika chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Awe na Uwezo mzuri wa kutumia Kompyuta

Awe na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegeme

Asiwe muajiriwa wa Serikali

Awe na umri usio zidi miaka 40

Awe Mzanzibar Mkaazi

Apply for this position

Interested in this job?

6 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

JobChat JobChat AI Here to help with this job
How can I help you with Nafasi za Kazi 10 Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar (OCGS)?

Powered by JobChat

How to Apply

Apply now