Drivers (Madereva) 20 Posts at Pioneer Logistics Limited
Job Role Insights
-
Date posted
2026-09-10
-
Closing date
2026-09-30
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
20 person
-
Gender
both
-
Job ID
144250
Job Description
Tarehe: 10-09-2026
Kampuni: Pioneer Logistics Limited
Kazi: UDEREVA
Nafasi: 20
Tunatafuta madereva wenye uzoefu na weledi wa kuendesha malori ya masafa marefu. Dereva atakuwa na jukumu la kuhakikisha usalama wa gari na mzigo, kufuata ratiba za usafirishaji, na kuripoti hali za barabarani kwa Meneja wa Usafirishaji.
Jiunge na nafasi ambayo ujuzi wako wa kuendesha unathaminiwa, juhudi zako zinatuzwa, na kila safari inachangia na kuboresha ujuzi wako na kukujenga zaidi katika shughuli zako za udereva.
Mahitaji hatua ya awali
1. Barua ya Maombi ya Kazi.
2. Wasifu wako (CV).
3. Barua ya Utambulisho wa Makazi.
4. Nakala ya leseni. (Class E)
5. Nakala ya passport kubwa.
6. Cheti cha Mafunzo ya Uendeshaji (Driving Certificate).
7. Kitambulisho cha taifa.
8. Cheti cha kuzaliwa.
Mahitaji baada ya kufaulu Usaili
9. Barua ya Wadhahmimi wawili wafanyakazi wa serikali.
10. Nakala ya vitambulisho vya kazi.
11. Cheti cha Uhakiki wa Leseni.
12. Finger print Verification Document ya Jeshi la Polisi.
Mawasiliano
0768425776
Tuma Wasifu wako hapa:
Mwisho wa maombi: 30-09-2026
Interested in this job?
19 days left to apply
