Nafasi za Kazi 10 Halmashauri ya Mji Mbulu
Job Role Insights
-
Date posted
2025-11-19
-
Closing date
2025-11-30
-
Hiring location
Manyara
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
125363
Job Description
The total number of job posts listed here for the Mbulu Town Council (Halmashauri ya Mji Mbulu) is 10 posts in November 2025.
| Job Title | Posts |
| 1.0 Driver Grade II (DEREVA DARAJA II) | 6 |
| 2.0 Office Secretary Grade II (MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II) | 4 |
| TOTAL POSTS | 10 |
DEREVA DARAJA II
Halmashauri ya Mji Mbulu
6 Positions
Application Period
18/11/2025 - 30/11/2025
Duties and Responsibilities
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
Qualifications
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS B
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II
Halmashauri ya Mji Mbulu
4 Positions
Application Period
18/11/2025 - 30/11/2025
Duties and Responsibilities
- i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri;
- ii. Kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa;
- iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, wageni,tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- vi. Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali;
- viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS C
Interested in this job?
11 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job
