Job Role Insights

  • Date posted

    2026-09-30

  • Closing date

    2026-10-15

  • Hiring location

    Zanzibar

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate Degree Diploma O-Level Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    3 - 5 Years

  • Quantity

    5 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    146399

Job Description

The total number of job posts listed here for the Public Service Recruitment Secretariat / Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Sekretarieti ya Ajira) is 5 posts in September 2026.

This public service recruitment targets driver operations, office management secretarial services, and information technology network administration specifically stationed in the Unguja region.

Job Title / SpecializationPosts
Dereva Daraja II (Driver II) - Unguja3
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) - Unguja1
Afisa TEHAMA II – Fani ya Usimamizi wa Mitandao ya TEHAMA (Network Administrator) - Unguja1
TOTAL POSTS5

SEKRETARIETI YA AJIRA

Vacancies: 5  |  Latest closing: Oct 15, 2026 Apply

DEREVA DARAJA II (DRIVER II) -UNGUJA

Posts: 3  |  Closing: Oct 15, 2026 Apply  |  Period: 30/09/2026 - 15/10/2026  |  Scale: TGS B

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
  • Kufanya usafi wa gari; na
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II) -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Oct 15, 2026 Apply  |  Period: 30/09/2026 - 15/10/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;.
  • Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100(100.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position


1.0 AFISA TEHAMA II – FANI YA USIMAMIZI WA MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADIMINISTRATOR-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Oct 15, 2026 Apply  |  Period: 30/09/2026 - 15/10/2026  |  Scale: TGS E

Duties and Responsibilities

  • Kuboresha,kusimamiana,kufuatiliaji na kusimamia changamoto za hifadhi data.
  • Kusimamia usalama wa hifadhi data, udhibiti wa uadilifu,kumbukumbu na nyaraka muhimu.
  • Kusimamia matengenezo,chelezo (data backup) , kupima na kurejesha mifumo na hifadhi data
  • Kuhakikisha upatikanaji wa mifumo na huduma za hifadhi data.
  • Kusakinisha na kutengeneza miundo ya hifadhi data.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wenye Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

Interested in this job?

15 days left to apply

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

How to Apply