Nafasi za Kazi 7 Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
Job Role Insights
-
Date posted
2025-12-01
-
Closing date
2025-12-15
-
Hiring location
Arusha
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
125782
Job Description
Arusha District Council is an administrative division within the Arusha Region of Tanzania, located just below Mount Meru. It is one of seven local authorities in the region, with a total area of 1,547.6 km² and a population of 449,518 as of 2022.
The total number of job posts listed here for the Arusha District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Arusha) is 7 posts in December 2025.
| Job Title | Posts |
| 1.0 Driver Grade II (DEREVA DARAJA II) | 4 |
| 2.0 Office Secretary Grade II (MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II) | 2 |
| 3.0 Plant Operator II (DEREVA WA MITAMBO II) | 1 |
| TOTAL POSTS | 7 |
DEREVA DARAJA II
Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
4 Positions
Application Period
01/12/2025 - 14/12/2025
Duties and Responsibilities
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
Qualifications
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS B
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II
Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
2 Positions
Application Period
01/12/2025 - 14/12/2025
Duties and Responsibilities
- i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
- iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS.C
DEREVA WA MITAMBO II -ARUSHA DC
Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
1 Position
Application Period
01/12/2025 - 14/12/2025
Duties and Responsibilities
- i. Kuendesha mitambo kikamilifu bila kusimamiwa.
- ii. Kuweka vipimo mbalimbali vinavyotakiwa kufuatana na kazi anayofanya na
- jinsi anavyoelekezwa na kiongozi wa kazi hiyo.
- iii. Kutoa huduma ya kwanza ya matengenezo ya mitambo na pia aweze kutoa
- maelekezo sahihi ya ubovu wa mitambo anapotakiwa kufanya hivyo.
- iv. Kuandika vizuri ‘log sheet’ na kuweka kumbukumbu sahihi ya matumizi ya
- vifaa kwa mfano mafuta, grisi na vipuri.
- v. Kuhakikisha kuwa mashine/mitambo inatumika kwa kazi zinazotakiwa.
- vi. Kufanya usafi wa mtambo.
- vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake
Qualifications
Awe na cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne (IV), mwenye leseni daraja ‘G’ ya uendeshaji mitambo pamoja na ujuzi wa kutunza vyombo mbalimbali vya mitambo
hiyo, wenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda usiopungua saa mia tatu (300) au miezi mitatu (3) bila kusababisha ajali
Remuneration
TGOS A
Interested in this job?
14 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job
