
POST: DEREVA DARAJA II – 6 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-05-27
-
Closing date
2025-06-02
-
Hiring location
Katavi
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
6 person
-
Gender
both
-
Job ID
114715
Job Description
POST: DEREVA DARAJA II - 6 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika
APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-26 2025-06-02
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
- Kufanya usafi wa gari
- na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendehsjimagari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job