
POST: DEREVA DARAJA LA II – 6 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-06-19
-
Closing date
2025-07-01
-
Hiring location
Njombe
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
117840
Job Description
POST: DEREVA DARAJA LA II - 6 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Mji wa Makambako
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-18 2025-07-01
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
- Kufanya usafi wa gari
- na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. Pamoja na kazi zingine utakazopangiwa na Mwajiri wako.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika (E au C). Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Ufundi VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job