Nafasi za Kazi 912 MDAs & LGAs
Job Role Insights
-
Date posted
2026-01-14
-
Closing date
2026-01-28
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
126913
Job Description
MDAs (Ministries, Departments, Agencies) and LGAs (Local Government Authorities) are key parts of Tanzania's public sector, with MDAs handling national policy/strategy and LGAs delivering services locally; they often collaborate, especially in recruitment and development, with MDAs setting national goals and LGAs implementing them at the community level for effective governance and development.
The total number of job posts listed here for Ministries, Departments, Agencies & Local Government Authorities (MDAs & LGAs) is 912 posts in January 2026.
| Job Title | Posts |
| 1.0 Child Care Assistant (MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI) | 2 |
| 2.0 Teacher Grade III C - Physics (MWALIMU DARAJA LA III C - FIZIKIA) | 201 |
| 3.0 Teacher Grade III C - Mathematics (MWALIMU DARAJA LA III C - HISABATI) | 709 |
| TOTAL POSTS | 912 |
MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI (CHILD CARE ASSISTANT)
MDAs & LGAs
2 Positions
Application Period
14/01/2026 - 28/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki kutekeleza mpango jumui wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya watoto, (ECD integrated plan);
- Kuandaa na kutekeleza ratiba ya shughuli za kila siku katika kituo husika;
- Kubainisha na kutumia mazingira salama ya kujifunzia watoto;
- Kutoa rufaa ya masuala ya watoto yaliyo nje ya uwezo wake;
- Kutambua watoto wenye mahitaji maalumu na kutoa huduma stahiki;
- Kushiriki katika uhamasishaji wa jamii katika kutoa huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto;
- Kutoa ushauri kwa wazazi/walezi kuhusu malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto katika eneo lake;
- Kuandaa na kutoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kila siku katika eneo husika;
- Kushiriki kwenye mchakato wa uendeshaji wa mashauri ya watoto katika ngazi husika (case management);
- Kuandaa taarifa ya uanzishaji wa vituo vya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto katika maeneo husika;
- naKufanya kazi nyingine yoyote atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi kulingana na elimu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au kidato cha sita waliohitimu mafunzo ya Astashahada ya Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Ustawi wa Jamii, Saikolojia kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
Remuneration
TGS. B
MWALIMU DARAJA LA III C - FIZIKIA (PHYSICS)
MDAs & LGAs
201 Positions
Application Period
14/01/2026 - 28/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
- Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
- Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
- Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
- Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Qualifications
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fizikia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fizikia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
Remuneration
TGTS- D
MWALIMU DARAJA LA III C - HISABATI (MATHEMATICS)
MDAs & LGAs
709 Positions
Application Period
14/01/2026 - 28/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
- Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
- Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
- Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na
- Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Qualifications
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati
AU
Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
Remuneration
TGTS- D
Interested in this job?
14 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job
