
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS) – 150 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-06-14
-
Closing date
2025-06-26
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
High School Certificate Secondary Education
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
116573
Job Description
POST: MWALIMU DARAJA LA III B - HISABATI (MATHEMATICS) - 150 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-13 2025-06-26
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
- Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia
- Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
- Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
- na viii.Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Hisabati kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION: TGTS-C
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job