POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) (RE-ADVERTISED) – 3 POST

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-02-11

  • Closing date

    2025-02-20

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Diploma

  • Experience

    1 - 2 Years 3 Years

  • Quantity

    3 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    50349

Job Description

POST: MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) (RE-ADVERTISED) - 3 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
  • Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia
  • Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi
  • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
  • Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
  • Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
  • na viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya StashahadayaUalimuyenyesomolakufundishialaUmemewa magari “Auto Electrical” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.     AUWenyeStashahadaisiyoyaUalimukatikafaniSomolaUmemewaMagari“Auto Electrical”. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa  

REMUNERATION: TGTS-C

Interested in this job?

This job has expired

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

AI

JobChat AI Toolkit

Use AI to boost your application for this job.

Powered by JobChat

How to Apply

Apply now