Nafasi za Kazi 2 Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA)

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-07-01

  • Closing date

    2026-07-14

  • Hiring location

    Zanzibar

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma

  • Experience

    3 - 5 Years

  • Quantity

    2 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    136742

Job Description

The total number of job posts listed here for the Zanzibar Building Agency (Wakala wa Majengo Zanzibar - ZBA) is 2 posts in July 2026.

This structural engineering expansion targets early-career technical cadres stationed in Unguja to bolster state infrastructure design, public housing consultancy, and mechanical building services supervision.

Job TitlePosts
Mhandisi Ujenzi Daraja la II (Civil Engineer Grade II)1
Mhandisi Mitambo Daraja la II (Mechanical / Mechatronics Engineer Grade II)1
TOTAL POSTS2

WAKALA WA MAJENGO ZANZIBAR

Vacancies: 2  |  Latest closing: Jul 14, 2026 Apply

Mhandisi Ujenzi Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jul 14, 2026 Apply  |  Period: 30/06/2026 - 14/07/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu Majengo au Mhandisi Majengo aliesajiliwa na bodi ya Usajili husika ili kupata uzoefu unaotakiwa.
  • Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu Wasanifu majengo.
  • Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za Uhandisi zinayowahusu Wahandisi Majengo.
  • Kupitia mapendekezo ya miradi (Project Proposals) mbali mbali za majengo yanayowasilishwa katika taasisi na kutoa ushauri.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi (Civil Engineer) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position


Mhandisi Mitambo Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jul 14, 2026 Apply  |  Period: 30/06/2026 - 14/07/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • Kusaidia kuandaa na kupitia michoro na usanifu wa mifumo ya mitambo na mabomba (Mechanical & Plumbing Services) katika majengo chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa (Professional Engineer).
  • Kusaidia kusimamia ufungaji wa mifumo ya maji safi, maji taka, maji ya mvua, mifumo ya kuzima moto, na gesi katika majengo.
  • Kusaidia Kusimamia ufungaji na uendeshaji wa mifumo ya HVAC (Heating, Ventilation and Air Conditioning), lifti, pampu na vifaa vingine vya mitambo.
  • Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa mifumo ya mitambo na mabomba ili kuhakikisha usalama, ubora na ufanisi wa utendaji.
  • Kusaidia kuandaa makadirio ya gharama (cost estimates) na vipimo vya kazi (Specifications) kwa kazi zinazohusiana na mifumo ya mitambo na bomba kwenye majengo.
  • Kusaidia kusimamia wakandarasi na washauri wanaotekeleza kazi za mifumo ya mitambo na bomba ili kuhakikisha kazi zinafanyika kwa mujibu wa mikataba na viwango vinavyotakiwa.
  • Kuandaa taarifa za kiufundi, ripoti za ukaguzi na maendeleo ya utekelezaji wa miradi.
  • Kushirikiana na wahandisi wa taaluma nyingine (Civil, Electrical, Structural na Architectural) katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

Qualifications

Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Mitambo (Mechanical Engineer / Mechatronics Engineer) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

Interested in this job?

13 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

JobChat JobChat AI Here to help with this job
How can I help you with Nafasi za Kazi 2 Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA)?

Powered by JobChat

How to Apply

Apply now