
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI- FANI YA UHANDISI WA MITAMBO (MECHANICAL ENGINEER) – 1 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-21
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Advanced Degree Advanced Diploma Associate Degree Bachelor Degree Degree Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121508
Job Description
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI- FANI YA UHANDISI WA MITAMBO (MECHANICAL ENGINEER) - 1 POST
EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-08 2025-08-21
JOB SUMMARY: OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali
- Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi
- Kufanya Ukaguzi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo programu na miradi mbalimbali ya maendeleo
- Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za Ukaguzi
- Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Kaguzi zilizokwishafanyika
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza /Stashahada ya Juu ya Uhandisi Mitambo (Bachelor of Mechanical Engineering) kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: SAIS. E
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job