
MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II BUNDA
Job Role Insights
-
Date posted
2025-09-04
-
Closing date
2025-09-17
-
Hiring location
Mara
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
2 person
-
Gender
both
-
Job ID
122869
Job Description
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda
2 Positions
Application Period
04/09/2025 - 17/09/2025
Duties and Responsibilities
Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo
katika eneo lake,
ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala
ya maendeleo katika eneo lake
iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.
iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,
v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila
mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,
vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.
vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia
fursa na rasilimali zinazowazunguka.
viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
Qualifications
Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.
Remuneration
TGS B
Interested in this job?
13 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job