
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II WANGING’OMBE
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-19
-
Closing date
2025-09-01
-
Hiring location
Njombe
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121914
Job Description
Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe
5 Positions
Application Period
19/08/2025 - 01/09/2025
Duties and Responsibilities
- i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
- iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS.C
Interested in this job?
13 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job