Nafasi za Kazi 115 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Job Role Insights
-
Date posted
2025-12-11
-
Closing date
2025-12-23
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
126184
Job Description
The Tanzania Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) is the Tanzanian government body responsible for formulating and implementing policies for education, science, and technology, aiming to develop a skilled workforce and promote innovation for national development, overseeing everything from basic education and vocational training to higher education and scientific research, it manages various divisions and oversees key agencies like NECTA, NACTVET, and TCU.
The total number of job posts listed here for the Ministry of Education, Science and Technology (Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia) is 115 posts in December 2025.
| Job Title | Posts |
| 1.0 Assistant Community Development Trainer II - Livestock Keeping (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UFUGAJI) | 7 |
| 2.0 Assistant Community Development Trainer II - Motor Vehicle Mechanics (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II - MAGARI) | 10 |
| 3.0 Assistant Community Development Trainer II - Food Production (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA) | 10 |
| 4.0 Assistant Community Development Trainer II - Plumbing and Pipe Fitting (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II - UFUNDI WA BOMBA) | 18 |
| 5.0 Assistant Community Development Trainer II - Carpentry and Joinery (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USEREMALA) | 15 |
| 6.0 Assistant Community Development Trainer II - Secretarial Studies (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI) | 5 |
| 7.0 Assistant Community Development Trainer II - Tailoring and Fashion Design (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USHONAJI NA UBUNIFU WA MITINDO) | 10 |
| 8.0 Assistant Community Development Trainer II - Welding and Metal Fabrication (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA) | 16 |
| 9.0 Assistant Community Development Trainer II - Early Childhood Development (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO) | 4 |
| 10.0 Assistant Community Development Trainer II - Bricklaying and Masonry (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UASHI NA UJENZI) | 10 |
| 11.0 Assistant Community Development Trainer II - Computer Applications (MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – COMPUTER APPLICATIONS) | 10 |
| TOTAL POSTS | 115 |
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UFUGAJI (LIVESTOCK KEEPING) - 7 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Ufugaji (Livestock Keeping) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS) - 10 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika vyuo;
- Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
- Kusimamia masomo ya vitendo;
- Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
- Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
- Kuandaa muhtasari wa masomo;
- Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
- Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
- Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
- Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika fani ufundi wa Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION) - 10 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya 'Food Production' kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II - UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING) - 18 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Ufundi Bomba (Plumbing and Pipe Fitting) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY) - 15 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Useremala (carpentry and Joinery) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES) - 5 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya uhazili (Secretarial Studies) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USHONAJI NA UBUNIFU WA MITINDO (TAILORING AND FASHION DESIGN) - 10 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ushonaji na ubunifu mitindo (Tailoring and Fashion Design) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) - 16 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO (EARLY CHILDHOOD DEVELOPMENT) - 4 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Maendeleo ya Awali ya Mtoto (Early Childhood Development) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UASHI NA UJENZI (BRICKLAYING AND MASONRY) - 10 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya 'Civil' au 'Bricklaying and Masonry' kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – COMPUTER APPLICATIONS - 10 Positions
Application Period: 08/12/2025 - 23/12/2025
Duties and Responsibilities:
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
- Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii.
Qualifications:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya masomo ya kompyuta (Computer Studies) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration:
TGS C
Interested in this job?
11 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job