Job Role Insights

  • Date posted

    2025-11-19

  • Closing date

    2025-11-30

  • Hiring location

    Lindi

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    125351

Job Description

The total number of job posts listed here for the Ruangwa District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa) is 12 posts in November 2025.

Job TitlePosts
1.0 Office Secretary Grade II (MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II)6
2.0 Records Management Assistant Grade II (MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II)6
TOTAL POSTS12

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

6 Positions

Application Period

17/11/2025 - 30/11/2025

Duties and Responsibilities

  • i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  • iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  • ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. 

Remuneration

TGS.C


MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

6 Positions

Application Period

17/11/2025 - 30/11/2025

Duties and Responsibilities

  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)  

Qualifications

Kuajiriwa  awe  amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani zifuatazo:- Utunzaji wa kumbukumbu,Urasima Ramani (Cartography) au (Geoinformatics) Sheria au kumbukumbu za Afya za Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta

Remuneration

N/A

Interested in this job?

11 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel