
Nafasi za Kazi 17,719 Jobs Opportunity at MDAs & LGAs October 2025
Job Role Insights
-
Date posted
2025-10-16
-
Closing date
2025-10-29
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Fresher Junior Middle Senior
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma O-Level Secondary Education
-
Experience
1 Year 5 - 10+ Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
124436
Job Description
JOB VACANCY ANNOUNCEMENT
The Secretary of the Public Service Recruitment Secretariat, on behalf of MDAs & LGAs (Ministries, Departments, Agencies & Local Government Authorities), invites applications from qualified and competent Tanzanians to fill 17,710 positions as specified in this announcement.
ORODHA YA KAZI KUTOKA TANGAZO LA NAFASI 17,710 - OKTOBA 2025
JUMLA YA NAFASI: 17,710
ORODHA KAMILI YA KAZI:
1. MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)
- Nafasi: 131
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
2. AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT AQUACULTURE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 1
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
3. MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II)
- Nafasi: 126
- Ngazi ya Mshahara: TGS.B
4. AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 32
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
5. AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
- Nafasi: 224
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
6. MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS)
- Nafasi: 24
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
7. AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)
- Nafasi: 35
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
8. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)
- Nafasi: 292
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
9. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)
- Nafasi: 76
- Ngazi ya Mshahara: TGS.B
10. MKUFUNZI DARAJA LA II - KILIMO (AGRICULTURAL OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 73
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
11. FUNDI SANIFU DARAJA LA II - KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)
- Nafasi: 15
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
12. AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI DARAJA LA II (AQUACULTURE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 3
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
13. MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)
- Nafasi: 62
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
14. AFISA MAENDELEO YA MICHEZO MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT GAME AND SPORTS DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 7
- Ngazi ya Mshahara: TGS.B
15. AFISA UFUGAJI NYUKI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT BEEKEEPING OFFICER II)
- Nafasi: 5
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
16. AFISA MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT CHILD CARE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 5
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
17. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II)
- Nafasi: 179
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
18. AFISA UTAMADUNI MSAIDIZI (ASSISTANT CULTURAL OFFICER GRADE)
- Nafasi: 1
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
19. AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 161
- Ngazi ya Mshahara: Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara
20. AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 35
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
21. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 3,945
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
22. AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 16
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
23. AFISA USTAWI WA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT SOCIAL WELFARE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 76
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
24. AFISA UGAVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT SUPPLIES OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 18
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
25. MSAIDIZI WA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING ASSISTANT GRADE II)
- Nafasi: 6
- Ngazi ya Mshahara: TGS.B
26. AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 21
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
27. MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER GRADE II)
- Nafasi: 17
- Ngazi ya Mshahara: TGHS D
28. FUNDI SANIFU VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEERING TECHNICIAN GRADE II)
- Nafasi: 34
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
29. MHANDISI UJENZI DARAJA LA II (CIVIL ENGINEER GRADE II)
- Nafasi: 53
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
30. FUNDI SANIFU MSAIDIZI UJENZI DARAJA LA II (CIVIL TECHNICIAN GRADE II)
- Nafasi: 48
- Ngazi ya Mshahara: TGOS A
31. MPISHI DARAJA LA II (COOK GRADE II)
- Nafasi: 1,127
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
32. KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II)
- Nafasi: 43
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
33. AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 43
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
34. MPISHI DARAJA LA II (COOK II)
- Nafasi: 43
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
35. AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 45
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
36. AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 252
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
37. AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II (CULTURAL OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 38
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
38. DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON GRADE II)
- Nafasi: 68
- Ngazi ya Mshahara: TGHS E
39. TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II)
- Nafasi: 217
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
40. DEREVA DARAJA LA II (DRIVER GRADE II)
- Nafasi: 427
- Ngazi ya Mshahara: TGOS A
41. MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II)
- Nafasi: 138
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
42. AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 140
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
43. AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 712
- Ngazi ya Mshahara: TGHS C
44. AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 59
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
45. AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA III (LIVESTOCK FIELD OFFICER GRADE III)
- Nafasi: 15
- Ngazi ya Mshahara: TGS.B
46. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENT HEALTH OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 96
- Ngazi ya Mshahara: TGHS C
47. MHANDISI II MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL ENGINEER GRADE II)
- Nafasi: 4
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
48. AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 90
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
49. AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 55
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
50. AFISA MISITU DARAJA LA II (FOREST OFFICERS GRADE II)
- Nafasi: 46
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
51. FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST GRADE II)
- Nafasi: 43
- Ngazi ya Mshahara: TGHS-B
52. AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 32
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
53. MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME WARDEN GRADE II)
- Nafasi: 16
- Ngazi ya Mshahara: TGS C
54. MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III (GAME WARDEN GRADE III)
- Nafasi: 2
- Ngazi ya Mshahara: TGS B
55. AFISA MIPANGO DARAJA LA II (PLANNING OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 90
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
56. AFISA MICHEZO DARAJA LA II (GAMES AND SPORTS DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 42
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
57. MJIOLOJIA DARAJA LA II (GEOLOGIST GRADE II)
- Nafasi: 9
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
58. MSAIDIZI WA AFYA DARAJA LA II (HEALTH ASSISTANT GRADE II)
- Nafasi: 1,588
- Ngazi ya Mshahara: TGHS A
59. AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II - MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS GRADE II)
- Nafasi: 33
- Ngazi ya Mshahara: TGHS C
60. KATIBU WA AFYA DARAJA LA II (HEALTH SECRETARY GRADE II)
- Nafasi: 32
- Ngazi ya Mshahara: TGHS C
61. AFISA RASILIMALI WATU DARAJA LA II (HUMAN RESOURCE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 21
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
62. AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 84
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
63. AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 75
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
64. MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR GRADE II)
- Nafasi: 102
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
65. MTEKNOLOJIA MAABARA II (HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II)
- Nafasi: 30
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
66. DOBI DARAJA LA II (LAUNDERER GRADE II)
- Nafasi: 10
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
67. AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER GRADE II)
- Nafasi: 86
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
68. FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MECHANICAL TECHNICIAN GRADE II)
- Nafasi: 12
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
69. DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 1,201
- Ngazi ya Mshahara: TGHS E
70. AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 57
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
71. MTOA TIBA KWA VITENDO DARAJA LA II (OCCUPATIONAL THERAPIST GRADE II)
- Nafasi: 12
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
72. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)
- Nafasi: 308
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
73. MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST GRADE II)
- Nafasi: 138
- Ngazi ya Mshahara: TGHS-B
74. AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 114
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
75. MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR GRADE II)
- Nafasi: 97
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
76. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (NYARAKA) DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT GRADE II)
- Nafasi: 239
- Ngazi ya Mshahara: TGS.C
77. AFISA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 29
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
78. FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LABORATORY TECHNICIAN GRADE II)
- Nafasi: 90
- Ngazi ya Mshahara: TGS C
79. AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II (SOCIAL WELFARE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 148
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
80. MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN GRADE II)
- Nafasi: 100
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
81. AFISA UGAVI DARAJA LA II (SUPPLIES OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 76
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
82. AFISA UTALII DARAJA LA II (TOURISM OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 16
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
83. AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 164
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
84. AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER GRADE II)
- Nafasi: 51
- Ngazi ya Mshahara: TGS.D
85. DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERINARY OFFICERS GRADE II)
- Nafasi: 36
- Ngazi ya Mshahara: TGS.E
86. MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY GRADE II)
- Nafasi: 130
- Ngazi ya Mshahara: TGHS B
87. MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA)
- Nafasi: 3,018
- Ngazi ya Mshahara: TGTS-B
TAREHE YA MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI: 29 Oktoba, 2025
ANUANI YA KUOMBEA: https://portal.ajira.go.tz/
MAELEZO ZAIDI: Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, S.L.P. 2320, DODOMA
Interested in this job?
13 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job