Nafasi za Kazi 23 Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF)
Job Role Insights
-
Date posted
2026-02-02
-
Closing date
2026-02-10
-
Hiring location
Zanzibar
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
127456
Job Description
The Zanzibar Health Service Fund (ZHSF) is a mandatory, government-established, and regulated universal health insurance scheme that became operational in July 2023. Established by the Zanzibar Health Services Fund Act No. 2 of 2022, its primary goal is to provide all Zanzibar residents with access to quality healthcare without financial hardship by pooling resources.
The total number of job posts listed here for the Zanzibar Health Service Fund (Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar - ZSHF) is 23 posts in February 2026.
| Job Title | Location | Posts |
| 1.0 Fraud Control Officer II (AFISA UDHIBITI UDANGANYIFU) | Pemba | 1 |
| 2.0 Fraud Control Officer II (AFISA UDHIBITI UDANGANYIFU) | Unguja | 1 |
| 3.0 Risk Management Officer II (AFISA USIMAMIZI WA VIHATAISHI) | Pemba | 1 |
| 4.0 Risk Management Officer II (AFISA USIMAMIZI WA VIHATAISHI) | Unguja | 2 |
| 5.0 Medical Claims Auditor II (MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI) | Tanzania Bara | 2 |
| 6.0 Medical Claims Auditor II (MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI) | Unguja | 7 |
| 7.0 Medical Claims Auditor II (MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI) | Pemba | 5 |
| 8.0 Systems Developer II (MSARIFU WA MIFUMO) | Unguja | 2 |
| 9.0 Actuarial Assessment Officer II (AFISA TATHMINI YA UHIMILIVU) | Unguja | 2 |
| TOTAL POSTS | 23 |
MFUKO WA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR (ZSHF) IS HIRING
AFISA UDHIBITI UDANGANYIFU DARAJA LA II PEMBA
Location: Pemba Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 1 Post
Qualifications & Experience
- Awe mwenye angalau Shahada ya kwanza katika fani ya Udaktari wa Binaadamu, “Forensic Medicine”, Famasia, Ukaguzi wa Ndani au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Awe amemaliza “internship” na awe na Leseni ya Udaktari au Famasia inayotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Kwa muombaji wa Kada ya Ukaguzi wa Ndani mwenye CPA atapewa kipaumbele.
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na uadilifu wa hali ya juu.
- Awe na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri kwa wafanyakazi na wadau wengine wa Mfuko.
- Awe na uwezo wa kufanya uchunguzi wa Kiintelejensia na kukusanya taarifa pamoja na kuzifanyia uchambuzi ili kuthibitisha udanganyifu unaofanyika.
- Awe na uwezo wa kufanya uchunguzi na kutunza siri.
- Awe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
- Awe na uwezo wa kuchambua na kuandika ripoti za kiuchunguzi.
Duties and Responsibilities
- Kusaidia kufanya uchunguzi wa Kiintelejensia na kukusanya taarifa pamoja na kuzifanyia uchambuzi ili kuthibitisha udanganyifu unaofanyika kwa watoa huduma, wanachama na katika uendeshaji wa shughuli za Mfuko.
- Kusaidia kuandaa sera na mpango mkakati wa kudhibiti udanganyifu wa Mfuko.
- Kusaidia kufanya tathmini na kuorodhesha viashiria vya udanganyifu na athari zake na kuweka mapendekezo ya kupunguza au kuondosha udanganyifu.
- Kusaidia kutafuta, kupokea na kuweka kumbukumbu za taarifa kutoka vyanzo mbali mbali juu ya tuhuma au vitendo vya udanganyifu.
- Kusaidia kufanya uchambuzi wa nyaraka zinazohusiana na tuhuma za udanganyifu kutoka kwa watoa huduma za afya, wanachama na uendeshaji wa shughuli za Mfuko.
- Kusaidia kutayarisha nyaraka za ushahidi wa tuhuma za udanganyifu na kuziwasilisha kwa Mkuu wa kazi.
- Kusaidia kutoa elimu kuhusu masuala ya udhibiti udanganyifu kwa watumishi, wanachama na wahusika wengine wa Mfuko.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Remuneration
- ZPSJ-09
Application Deadline
- Apply before February 9, 2026.
AFISA UDHIBITI UDANGANYIFU DARAJA LA II UNGUJA
Location: Unguja Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 1 Post

AFISA USIMAMIZI WA VIHATAISHI DARAJA LA II PEMBA
Location: Pemba Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 1 Post
Qualifications & Experience
- Awe mwenye angalau Shahada ya kwanza katika fani ya Usimamizi wa Vihatarishi au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na uadilifu wa hali ya juu.
- Awe na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri kwa wafanyakazi na wadau wengine wa Mfuko.
- Awe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
- Awe na uwezo wa kuchambua na kuandika ripoti za kitaalamu.
Duties and Responsibilities
- Kusaidia kufanya tathmini na kuorodhesha maeneo mbali mbali yenye vihatarishi katika Idara na Vitengo na kuviweka katika Mpango wa Usimamizi wa Vihatarishi.
- Kusaidia kutayarisha mapendekezo ya kupunguza au kuondoa vihatarishi kila mwaka na kufuatilia utekelezaji wake.
- Kusaidia kufanya ukaguzi kila robo mwaka kwa ajili ya kubaini uwepo wa vihatarishi vipya, vilivyofanyiwa kazi na vilivyosalia na kutoa ripoti.
- Kusaidia kufanya uchambuzi wa kina kwenye maeneo hatarishi kwa kutumia modeli ili kuweza kutabiri mwelekeo wa maeneo yanayoweza kusababisha hasara kwa Mfuko na kushauri hatua za kuchukua ili kuhakikisha Mfuko unapata faida na ukua endelevu.
- Kusaidia kufanya uchambuzi wa taarifa za mapato na matumizi ya fedha zinazotokana na skimu ya sekta rasmi na isiyo rasmi na kutoa ushauri kuhusu vihatarishi vinavyoweza kuathiri uhimilivu wa Mfuko.
- Kusaidia kufanya tathmini ya vihatarishi kabla ya kufanya uwekezaji au kuanzisha miradi.
- Kusaidia kufuatilia na kuhakiki utekelezaji wa Mpango wa Usimamizi wa Vihatarishi na kutoa ripoti.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Remuneration
- ZPSH-10
Application Deadline
- Apply before February 9, 2026.
AFISA USIMAMIZI WA VIHATAISHI DARAJA LA II UNGUJA
Location: Unguja Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 2 Posts

Here is the job description for the Mkaguzi wa Madai Kidaktari Daraja la II position at Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) in Tanzania Bara, based on the text provided.
MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI DARAJA LA II TANZANIA BARA
Location: Tanzania Bara Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 2 Posts
Qualifications & Experience
- Awe mwenye angalau Shahada ya kwanza katika fani ya Udaktari wa Binaadamu au Udaktari wa meno kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Awe amemaliza “internship” na awe na Leseni ya Udaktari inayotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na uadilifu wa hali ya juu.
- Awe na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri kwa wafanyakazi na wadau wengine wa Mfuko.
- Awe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
- Awe na uwezo wa kuchambua na kuandika ripoti za kitaalamu.
Duties and Responsibilities
- Kusaidia kufanya ukaguzi wa kidaktari kwa kuchakata na kuhakiki taarifa za madai ya watoa huduma za afya.
- Kusaidia kuchakata na kuhakiki taarifa za madai yaliyowasilishwa na watoa huduma kwa kutumia kanzidata.
- Kusaidia kuwasilisha taarifa kwa watoa huduma kuhusiana na taarifa za madai yaliyochakatwa na kuhakikiwa baada ya kufanyiwa ukaguzi wa kidaktari.
- Kutoa taarifa kwa Mkuu wa kazi baada ya kubaini viashiria vya udanganyifu katika madai ya watoa huduma za afya yaliyofanyiwa ukaguzi wa kidaktari.
- Kusaidia kusimamia taarifa za madai ya watoa huduma za afya katika mfumo wa kielektroniki kila mwezi.
- Kusaidia kusambaza miongozo ya Mfuko kwa watoa huduma za afya inayohusiana na uendeshaji wa utoaji wa huduma za afya na miongozo ya wanachama wa Mfuko.
- Kusaidia kusimamia utoaji wa vibali vya matibabu ambavyo vinahitaji ruhusa maalumu kwa watoa huduma za afya na wanachama wa Mfuko.
- Kusaidia kuimarisha utaratibu wa rufaa za wagonjwa kwa mujibu wa muongozo wa rufaa wa Mfuko.
- Kusaidia kutoa elimu ya afya kwa ajili ya kujikinga na maradhi yanayoambukiza na yasiyoambukiza.
- Kusaidia kutoa mafunzo kwa watoa huduma za afya na wanachama wa Mfuko.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Remuneration
- ZPSJ-09
Application Deadline
- Apply before February 10, 2026.
MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI DARAJA LA II UNGUJA
Location: Unguja Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 7 Posts

MKAGUZI WA MADAI KIDAKTARI DARAJA LA II PEMBA
Location: Pemba Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 5 Posts

MSARIFU WA MIFUMO DARAJA LA II UNGUJA
Location: Unguja Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 2 Posts
Qualifications & Experience
- Awe mwenye angalau Shahada ya kwanza katika fani ya Sayansi ya Kompyuta, Uhandisi wa Kompyuta au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na uadilifu wa hali ya juu.
- Awe na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri kwa wafanyakazi na wadau wengine wa Mfuko.
- Awe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
- Awe na uwezo wa kuchambua na kuandika ripoti za kitaalamu.
Duties and Responsibilities
- Kusaidia kupokea mahitaji ya Mfumo/Mifumo ya kielektroniki kutoka kwa Mchambuzi wa Mifumo.
- Kusaidia kusarifu na kuandika mageresho (source codes) yenye kuzingatia usalama kwa ajili kuandaa Mifumo kwa mujibu wa mahitaji ya kiutendaji kwa kutumia teknolojia kama vile “PHP, C#, ASP.NET, SQL SERVER, MVC, POSTGRES”, Spring boot na Angular.
- Kushiriki katika kufanya majaribio ya Mifumo kabla na baada ya kusarifiwa.
- Kusaidia kufanya marekebisho na kuiimarisha mifumo ya kielektroniki kila inapohitajika.
- Kusaidia kuandaa, kuendeleza na kuiimarisha tovuti ya Mfuko.
- Kusaidia kutambua na kutatua hitilafu zinazojitokeza katika Mifumo ya Mfuko.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Remuneration
- ZPSH-10
Application Deadline
- Apply before February 9, 2026.
AFISA TATHMINI YA UHIMILIVU DARAJA LA II UNGUJA
Location: Unguja Employer: Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZSHF) Post Code: 2 Posts
Qualifications & Experience
- Awe mwenye angalau Shahada ya kwanza katika fani ya Tathmini ya Uhimilivu (Actuarial Science) au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na uadilifu wa hali ya juu.
- Awe na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri kwa wafanyakazi na wadau wengine wa Mfuko.
- Awe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
- Awe na uwezo wa kuchambua na kuandika ripoti za kitaalamu.
Duties and Responsibilities
- Kusaidia kufanya Tathmini kwa kutumia taarifa za madai na uendeshaji na kutoa matokeo ya uhimilivu na uhai wa Mfuko.
- Kusaidia kuratibu, kufanya mapitio, kuandaa na kuimarisha vitita vya huduma.
- Kusaidia kufanya uchambuzi wa taarifa zinazohusiana na: mwenendo wa madai ya watoa huduma za afya, mwenendo wa makundi ya wanachama waliopatiwa huduma za afya, mwenendo wa maradhi yanayowasumbua wanachama na kutoa ushauri kupitia ripoti za nusu mwaka na mwaka.
- Kusaidia kuhakiki, kuchakata taarifa pamoja na kutoa ripoti za kitakwimu zinazohusiana na masuala ya kazi za msingi za Mfuko kila mwezi, robo mwaka na mwaka.
- Kusaidia kusimamia modeli na taarifa za Mfuko ziliopo katika Kanzidata ya Mfuko.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Remuneration
- ZPSH-10
Application Deadline
- Apply before February 9, 2026.
Interested in this job?
7 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job