Nafasi za Kazi 3 Halmashauri ya Wilaya ya Siha
Job Role Insights
-
Date posted
2026-07-24
-
Closing date
2026-08-06
-
Hiring location
Kilimanjaro
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
139181
Job Description
The total number of job posts listed here for the Siha District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Siha) is 3 posts in July 2026.
This local government recruitment targets healthcare support and mortuary sanitation services to improve facility hygiene and patient assistance across the district's health centers.
| Job Title | Posts |
| Health Assistant II (Mortuary Attendant) | 3 |
| TOTAL POSTS | 3 |
Halmashauri ya Wilaya ya Siha
Vacancies: 3 | Latest closing: 06/08/2026
HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT)
Posts: 3 | Closing: 06/08/2026 | Period: 24/07/2026 - 06/08/2026 | Scale: TGHS A
Duties and Responsibilities
- Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;
- Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;
- Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;
- Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;
- Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;
- Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa usalama vifaa na zana za usafi;
- Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;
- Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Interested in this job?
13 days left to apply
