Nafasi za Kazi 321 MDAs & LGAs Tanzania
Job Role Insights
-
Date posted
2025-12-11
-
Closing date
2025-12-23
-
Hiring location
Tanzania
-
Qualification
Bachelor Degree Degree Diploma Master’s Degree Secondary Education Undergraduate Degree Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
126154
Job Description
MDAs & LGAs is Tanzania's central government bodies (Ministries, Departments, Agencies) and Local Government Authorities, working together to implement national policies and deliver essential public services at the local level, a key part of Tanzania's public administration and development structure.
The total number of job posts listed here for the MDAs & LGAs (Government Ministries, Departments, Agencies & Local Government Authorities) is 321 posts in December 2025.
| Job Title | Posts |
| 1.0 ICT Officer II (Programmer) (AFISA TEHAMA Il (PROGRAMMER)) | 40 |
| 2.0 Radiography Technologist II - Radiology (MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA Il - RADIOLOJIA) | 70 |
| 3.0 Technologist - Optometrist II (MTEKNOLOJIA WA MACHO DARAJA II) | 20 |
| 4.0 Dental Technologist II (MTEKNOLOJIA WA MENO DARAJA li) | 10 |
| 5.0 ICT Officer II (System Administrator) (AFISA TEHAMA li (SYSTEM ADMINISTRATOR)) | 40 |
| 6.0 ICT Officer II - System Analyst (AFISA TEHAMA Il - FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA TEHAMA) | 30 |
| 7.0 ICT Officer II - System Security (AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA) | 30 |
| 8.0 ICT Officer II - Network Administrator (AFISA TEHAMA Il - FANI YA USIMAMIZI WA MITANDAO YA TEHAMA) | 40 |
| 9.0 ICT Officer II (Data Base Administrator) (AFISA TEHAMA II (DATA BASE ADMINISTRATOR)) | 40 |
| 10.0 Kitchen Attendant II (MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II) | 1 |
| TOTAL POSTS | 321 |
1.0 AFISA TEHAMA Il (PROGRAMMER) - 40 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, code and test program);
- Kusahihisha programu (Debug program);
- Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program);
- Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other software developers); na
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinayoendana na sifa na fani yake.
Sifa za Mwombaji:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
Ngazi ya Mshahara:
TGS E
2.0 MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA Il - RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST Il - RADIOLOGY) - 70 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi.
- Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi.
- Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic guality).
- Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa.
- Kusimamia watumishi walio chini yake.
- Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
- Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization).
- Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Sifa za Mwombaji:
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
Ngazi ya Mshahara:
TGTS-B
3.0 MTEKNOLOJIA WA MACHO DARAJA II (TECHNOLOGIST - OPTOMETRIST II) - 20 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu
- Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi
- Kutoa ushauri nasaha
- Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho
- Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Sifa za Mwombaji:
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam Macho.
Ngazi ya Mshahara:
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y
4.0 MTEKNOLOJIA WA MENO DARAJA li (DENTAL TECHNOLOGIST II) - 10 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuchukua vipimo vya meno ya wagonjwa na kuvifanyia kazi;
- Kutunza mashine na vifaa vya matibabu na vifaa vya maabara ya meno;
- Kutunza kumbukumbu za wagonjwa wanaokuja kwa ajili ya matatizo ya meno;
- Kubuni na kutengeneza meno ya bandia na viungo bandia vya taya; na
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Sifa za Mwombaji:
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Meno kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno.
Ngazi ya Mshahara:
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y
5.0 AFISA TEHAMA li (SYSTEM ADMINISTRATOR) - 40 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuboresha, kusimamiana, kufuatiliaji na kusimamia changamoto za hifadhi data.
- Kusimamia usalama wa hifadhi data, udhibiti wa uadilifu, kumbukumbu na nyaraka muhimu.
- Kusimamia matengenezo, chelezo(data backup), kupima na kurejesha mifumo na hifadhi data
- Kuhakikisha upatikanaji wa mifumo na huduma za hifadhi data.
- Kusakinisha na kutengeneza miundo ya hifadhi data.
Sifa za Mwombaji:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
Ngazi ya Mshahara:
TGS.E
6.0 AFISA TEHAMA Il - FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA TEHAMA (SYSTEM ANALYSIT) - 30 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuboresha, kusimamiana, kufuatiliaji na kusimamia changamoto za hifadhi data.
- Kusimamia usalama wa hifadhi data, udhibiti wa uadilifu, kumbukumbu na nyaraka muhimu.
- Kusimamia matengenezo, chelezo(data backup), kupima na kurejesha mifumo na hifadhi data
- Kuhakikisha upatikanaji wa mifumo na huduma za hifadhi data.
- Kusakinisha na kutengeneza miundo ya hifadhi data.
Sifa za Mwombaji:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
Ngazi ya Mshahara:
TGS.E
7.0 AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (SYSTEM SECURITY) - 30 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuboresha, kusimamiana, kufuatiliaji na kusimamia changamoto za hifadhi data.
- Kusimamia usalama wa hifadhi data, udhibiti wa uadilifu, kumbukumbu na nyaraka muhimu.
- Kusimamia matengenezo, chelezo(data backup), kupima na kurejesha mifumo na hifadhi data
- Kuhakikisha upatikanaji wa mifumo na huduma za hifadhi data.
- Kusakinisha na kutengeneza miundo ya hifadhi data.
Sifa za Mwombaji:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
Ngazi ya Mshahara:
TGS.E
8.0 AFISA TEHAMA Il - FANI YA USIMAMIZI WA MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADIMINISTRATOR) - 40 Posts
Majukumu ya Kazi:
- Kuboresha, kusimamiana, kufuatiliaji na kusimamia changamoto za hifadhi data.
- Kusimamia usalama wa hifadhi data, udhibiti wa uadilifu, kumbukumbu na nyaraka muhimu.
- Kusimamia matengenezo, chelezo(data backup), kupima na kurejesha mifumo na hifadhi data
- Kuhakikisha upatikanaji wa mifumo na huduma za hifadhi data.
- Kusakinisha na kutengeneza miundo ya hifadhi data.
Sifa za Mwombaji:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
Ngazi ya Mshahara:
TGS.E
9.0 AFISA TEHAMA II (DATA BASE ADMINISTRATOR) - 40 Posts

10.0 MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II (KITCHEN ATTENDANT II) - 1 Post
Majukumu ya Kazi:
- Kusafisha vyombo vya kupikia
- Kusafisha Vyombo vya kulia chakula
- Kuwatayarisha wapishi/Waandazi vifaa vya mpishi na meza
- Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia
- Kuwasaidia wandazi na wapishi.
Sifa za Mwombaji:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne na cheti cha mafunzo ya uhudumu wa jikoni kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Ngazi ya Mshahara:
TGSA
Interested in this job?
11 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job