Job Role Insights

  • Date posted

    2025-11-16

  • Closing date

    2025-11-28

  • Hiring location

    Kilimanjaro

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma High School Certificate Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    125223

Job Description

The total number of job posts listed here for the Siha District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Siha) is 4 posts in November 2025.

Job TitlePosts
1.0 Office Secretary Grade II (MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II)4
TOTAL POSTS4

Halmashauri ya Wilaya ya Siha

4 Positions

Application Period

15/11/2025 - 28/11/2025

Duties and Responsibilities

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. 

Remuneration

TGS.C

Interested in this job?

12 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel