Job Role Insights

  • Date posted

    2026-07-29

  • Closing date

    2026-08-10

  • Hiring location

    Zanzibar

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma

  • Experience

    2 Years

  • Quantity

    4 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    139672

Job Description

The Zanzibar Maritime Authority (ZMA) is the official government body that regulates marine transport, registers ships, and ensures maritime safety and security in Zanzibar. It was created under Act No. 3 of 2009 by the House of Representatives in Zanzibar.

The total number of job posts listed here for the Zanzibar Maritime Authority (ZMA) is 4 posts in July 2026.

This maritime safety, transport regulation, strategic planning, and ICT infrastructure recruitment targets operations in Unguja and Pemba.

Job Title / SpecializationPosts
Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II (Ship Inspection Officer Grade II) – Unguja1
Afisa Usafirishaji Daraja la II (Transport Officer Grade II) – Unguja1
Afisa Mipango Daraja la II (Planning Officer Grade II) – Unguja1
Afisa TEHAMA Daraja la II (ICT Officer Grade II) – Pemba1
TOTAL POSTS4

ZANZIBAR MARITIME AUTHORITY

Vacancies: 4  |  Latest closing: Aug 10, 2026 Apply

Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Aug 10, 2026 Apply  |  Period: 29/07/2026 - 10/08/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi
  • Kukagua meli na kujiridhisha kuwa ziko katika kiwango cha usalama na kuwasilisha ripoti kwa Mkuu wa kazi;
  • Kuhakikisha taratibu, miongozo na Kanuni za usafiri baharini za Kitaifa na Kimataifa zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.
  • Kukagua na kuthibitisha taarifa za nyaraka za meli na Wafanyakazi wake;
  • Kukagua vyombo vyote vya baharini kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo;
  • Kuweka kumbukumbu ya meli zilizokaguliwa, zilizo kizuizini na taarifa nyengine zinazohusiana na ukaguzi huo;
  • Kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa zitakazotumika katika uchunguzi wa ajali.

Qualifications

Awe ni Mzanzibari.

Awe na umri usiozidi miaka 40

Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mwenye cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.

Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

Apply for this position


AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Aug 10, 2026 Apply  |  Period: 29/07/2026 - 10/08/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi
  • Kupitia na kusimamia utekelezaji wa kanuni na taratibu mbali mbali zilizopo kwa watoa huduma za usafirishaji na watoa huduma wengineyo.
  • Kusimamia utekelezaji wa kanuni za viwango za ulipaji wa tozo na malipo yanayohusu Leseni na vibali vya usafirishaji.
  • Kuthibiti mawakala wa usafirishaji baharini.
  • Kuweka viwango na kanuni za utoaji wa huduma.
  • Kutoa maoni na ushauri juu ya usajili wa wakala wa uingizaji na utoaji wa mizigo na wengineo.
  • Kukusanya takwimu za usafirishaji kwa Vyombo vinavyoingia na kutoka bandarini.
  • Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji.

Qualifications

Sifa za Muombaji

Awe ni Mzanzibari.

Awe na umri usiozidi miaka 40

Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Usafirishaji (Logistic and Transport Management) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

Apply for this position


AFISA MIPANGO DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Aug 10, 2026 Apply  |  Period: 29/07/2026 - 10/08/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi
  • Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi wa Mamlaka.
  • Kutayarisha mfumo na muundo wa ukusanyaji wa taarifa na ripoti za utekelezaji.
  • Kufanya na kuratibu tafiti juu ya maeneo ya kazi za msingi na mahitaji mengine kwa maendeleo ya Mamlaka.
  • Kufanya mapitio ya taarifa za utekelezaji kwa ajili ya ufuatiliaji na tathmini.
  • Kutayarisha mpango, miradi na bajeti ya Mamlaka.
  • Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi.
  • Kuandaa na kufanya mapitio ya Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa Mamlaka.
  • Kuandaa Mpango wa Muda wa Kati wa Matumizi na Bajeti (MTEF) unaohusu Mamlaka
  • Kuandaa Mpango wa Matumizi wa kila mwezi (Cash Flow) unaohusu Mamlaka.

Qualifications

Sifa za Muombaji

Awe ni Mzanzibari.

Awe na umri usiozidi miaka 40

Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Mipango, Mipango ya Maendeleo, Sera na Mipango (Policy Planning), Ufuatiliaji na Tathmini, na Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha (development Finance and Investment Planning) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

Apply for this position


AFISA TEHAMA DARAJA LA II-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Aug 10, 2026 Apply  |  Period: 29/07/2026 - 10/08/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kubaini mahitaji ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Mamlaka.
  • Kufanya mapitio ya mifumo ya taarifa na kupendekeza maboresho inapofaa.
  • Kufanya matengenezo ya mifumo ya TEHAMA na kutoa suluhisho kwa wakati.
  • Kushughulikia uwiano wa mawasiliano ya ndani (networking) ya kompyuta.
  • Kuhakikisha kompyuta na vifaa vinavyohusika vinafanya kazi muda wote na kufanyiwa matengenezo stahiki.
  • Kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kila itakapohitajika.
  • Kuandaa program mbali mbali za kompyuta.
  • Kubuni mifumo mbalimbali ya kurahisisha utendaji kazi kwa kutumia TEHAMA.
  • Kutoa ushauri Kuhusu upatikanaji wa vifaa vya TEHAMA.
  • Kusaidia katika kuandaa ripoti za mara kwa mara kuhusu hali ya teknolojia ya habari na usimamizi wa mifumo ya Mamlaka.
  • Kuweka taarifa ya matukio mbali mbali ya Mamlaka kwenye tovuti

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibari.

Awe mkaazi wa Pemba

Awe na umri usiozidi miaka 40

Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya ICT, Mifumo ya TEHAMA, Uhandisi wa kompyuta pamoja na Network kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

Apply for this position

Interested in this job?

12 days left to apply

Apply now

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

How to Apply

Apply now