Nahodha Daraja la II (Skipper) 2 Posts at Mafia District Council

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-07-30

  • Closing date

    2026-08-12

  • Hiring location

    Pwani

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Vocational / Technical

  • Experience

    2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    139722

Job Description

The Mafia District Council is a local government authority in Tanzania that administers Mafia Island and its surrounding smaller islands within the Pwani Region.

NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER)

Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

2 Positions

Application Period

31/07/2026 - 12/08/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kuendesha boti ya doria;
  2. Kubuni, kutengeneza na kutunza zana za kuvulia samaki (Fishing Gears);
  3. Kuongoza na kuendesha boti/meli ndogo zenye urefu wa futi 40 na uzito wa kuandikishwa wa tani 50 – 100 “Gross Tonnage (GRT)”;
  4. Kuendesha shughuli za uvuvi katika meli; Kushiriki katika kuendesha doria za baharini na nchi kavu, na Doria za EEZ;
  5. Kusoma taarifa za VMS na kuziwasilisha kwa Mkuu wa kituo kila siku, wiki, mwezi, robo mwaka, nusu mwaka na mwaka;
  6. Kukamata wahalifu wa Sheria na Kanuni za Uvuvi;
  7. Kusaidia kutunza Kumbukumbu zote za matumizi ya mafuta katika vyombo vya doria;
  8. Kusaidia kuandaa ratiba ya kufanya matengenezo na “service” ya vyombo vyote vya doria (service schedule);
  9. Kutekeleza majukumu yote ya kikosi kama yalivyoainishwa katika Kifungu cha 32 cha Sheria ya Uvuvi na. 22 ya mwaka 2003; na
  10. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV au VI wenye Stashahada (Diploma NTA – level 6) ya Unahodha na Uvuvi (Master Fisherman) kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS C

Interested in this job?

13 days left to apply

Apply now

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

How to Apply

Apply now