
POST: AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – (ASSISTANT NURSING OFFICER II) – 4015 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-06-14
-
Closing date
2025-06-26
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Advanced Diploma Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
116574
Job Description
POST: AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) - 4015 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-13 2025-06-26
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kutoa huduma za uuguzi.
- Kukusanya takwimu muhimu za afya.
- Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake.
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
- Kutoa huduma za kinga na uzazi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania
REMUNERATION: TGHS-B
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job