POST: AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II – 5 POST

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-01-09

  • Closing date

    2025-01-20

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Degree Diploma

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    5 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II - 5 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenye matatizo, pamoja na watoto na vijana wenye matatizo mbalimbali).
  • Kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili.
  • Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa.
  • Kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa jamii kutoka kwa wadau na vituo mbalimbali vya ustawi wa jamii.
  • Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu, wazee malezi ya watoto na familia zenye matatizo.
  • Kupokea kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, malezi ambao (foster care) na vyuo vya malezi vya watoto wadogo mchana.
  • Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akina mama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja.
  • Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali.
  • Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia na watu wenye dhiki.
  • Kuhoji na kuandaa taarifa za washtakiwa.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa /Stashahada ya Juu katika fani za ‘Social Work’ ‘Sociology’,'Psychology','Social Protection','Guidance and Counseling', 'Theology',' Divinity', 'Child Protection', 'Social Policy','Early Childhood Development' au 'Social Gerontology' kutoka Chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: TGS.D

Apply Now

Interested in this job?

5 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Whatsapp-color Created with Sketch. Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your WhatsApp.
Subcrible