
POST: MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II) – 30 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-06-14
-
Closing date
2025-06-26
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Degree Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
116575
Job Description
POST: MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II) - 30 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-13 2025-06-26
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge(Kamati za mahesabu ya Serikali,Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)
- Kukusanya takwimu na taarifa mbali mbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii
- Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla
- Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika
- Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitaji kakati kakubainisha vipaumbele vya ustawi na maendeleo ya jamii
- Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fanizifuatazo; Uchumi(Economics), Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc. Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION: TGS.D
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job