
POST: MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME WARDEN II) – 35 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-22
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121506
Job Description
POST: MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME WARDEN II) - 35 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya doria ndani na nje ya eneo la hifadhi.
- Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi.
- Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha.
- Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori.
- Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali.
- Kufanya usafi na ulinzi wa kambi.
- Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi.
- Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani.
- Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao.
- Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na Nyara ndani na nje ya nchi.
- Kudhibiti wanyamapori waharibifu. xii.Kudhibiti moto kwenye hifadhi
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa zinazoendana na taalima yake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au cha VI wenye Stashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Diploma in Wildlife Management) kutoka chuo cha Wanyamapori na chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS.C
Interested in this job?
11 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job