
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA) – 1 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-21
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121498
Job Description
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA) - 1 POST
EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-08 2025-08-21
JOB SUMMARY: OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa kiuchunguzi na kutunza kumbukumbu zake
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali
- Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi
- Kufanya Ukaguzi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo programu na miradi mbalimbali ya maendeleo
- Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za Ukaguzi
- Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Kaguzi zilizokwishafanyika
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza /Stashahada ya Juu ya TEHAMA katika fani ya utengenezaji wa Programu za Mifumo ya TEHAMA kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali na ufahamu na maarifa ya vitendo katika Java EE, C#, C++ na Python pamoja na uwezo wa kufanya kazi za Mifumo ya Uhifadhi Data zenye Uhusiano (Relational DataBase Management Systems (RDMS).
REMUNERATION: SAIS. E
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job