
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI – FANI YA MIPANGO MIJI (TOWN PLANNER) – 1 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-21
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Advanced Degree Bachelor Degree
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121507
Job Description
POST: MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI - FANI YA MIPANGO MIJI (TOWN PLANNER) - 1 POST
EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-08 2025-08-21
JOB SUMMARY: OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali
- Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi
- Kufanya Ukaguzi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo programu na miradi mbalimbali ya maendeleo
- Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za Ukaguzi
- Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Kaguzi zilizokwishafanyika
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu katika fani ya Sayansi ya Upangaji Miji na Maeneo ya Ardhi ((Urban and Regional Planning) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: SAIS. E
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job