Job Role Insights

  • Date posted

    2025-05-14

  • Closing date

    2025-05-28

  • Hiring location

    Shinyanga

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II - 4 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-14 2025-05-27

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  • Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
  • Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.  

REMUNERATION: TGS C

Interested in this job?

14 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel