
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 5 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-05-27
-
Closing date
2025-06-02
-
Hiring location
Katavi
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
5 person
-
Gender
both
-
Job ID
114714
Job Description
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II - 5 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika
APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-26 2025-06-02
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register) Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika mojawapo ya fani zifuatazo; utunzaji wa Kumbukumbu, Urasimu Ramani (Cartography) au (Geoinformatics), Sheria kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
REMUNERATION: TGS C
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job