
POST: OPARETA WA COMPYUTA MSAIDIZI II (ASSISTANT COMPUTER OPERATOR) – 10 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-22
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
121504
Job Description
POST: OPARETA WA COMPYUTA MSAIDIZI II (ASSISTANT COMPUTER OPERATOR) - 10 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kutunza kumbukumbu za shughuli za kila siku.
- Kugundua na kusahihisha makosa yanayotokea katika data.
- Kufanya kazi za Kompyuta.
- Kuchapa orodha ya makosa.
- Kufanya programu ya matumizi.
- Kuchapa taarifa za mwisho.
- Kufanya kazi chini ya usimamizi wa Opereta wa Kompyuta Daraja la II.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiliwa waliomaliza kidato cha nne (IV) wenye Astashahada ya mwaka mmoja ya masomo ya awali ya Kompyuta yanayojumuisha Uendeshaji wa Kompyuta wa Msingi (Basic computer operations), Progam Endeshi (Operating system), na Program Tumizi (Application Programs) au Fundi Sanifu wa Kompyuta kutoka Kwenye Taasisi/Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS. B
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job