Job Role Insights

  • Date posted

    2023-09-05

  • Closing date

    2023-09-12

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    13738

Job Description

 

 

 

 

        

05.09.2023

 

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MBUNIFU WA MICHORO (GRAPHICS DESIGNER).

 

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.

 

Tunatangaza nafasi moja ya MBUNIFU WA MICHORO (GRAPHICS DESIGNER).

 

SIFA ZA MWOMBAJI :-

  1. Amesomea na kuhitimu mafunzo ya kubuni michoro.
  2. Awe anajua kutumia programu mbalimbali.
  3. Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
  4. Awe na uwezo wa kupiga picha, kuchukua video na kuziboresha kwa kutumia kompyuta.
  5. Awe uwezo mzuri wa kutumia na kuweka picha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
  6. Awe mkazi wa Dar Es Salaam.
  7. Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
  8. Umri usizidi miaka 30.
  9. Awe mwaminifu.

 

Tuma barua ya maombi, wasifu (c.v) pamoja na vyeti vya taaluma kwenye email : [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.09.2023

Interested in this job?

This job has expired

Apply Other Jobs

Share this opportunity

Help others find their dream job

Apply for this job

Cancel
Apply now
Whatsapp-color Created with Sketch. Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your WhatsApp.
Subcrible
Send message
Cancel