MSUSI NA MTENGENEZA KUCHA
Job Role Insights
-
Date posted
2025-05-10
-
Closing date
2025-06-04
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Min:TZS 150,000/month
-
Career level
Senior
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
2 person
-
Gender
both
Job Description
- Anahitajika msusi wa kike anayaweza kusuka mitindo isiyopungua mitatu. Kama umeshawahi kufanya kazi ya salon katika salon kubwa unahitajika zaidi.
- Anahitajika mtengeneza kucha wa kiume, anayejua kutengeneza kucha design zote kwa kutumia vifaa vya kisasa. Kama umeshawahi kufanya kazi ya kucha salon kubwa unahitajika zaidi
Interested in this job?
25 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job