Job Role Insights

  • Date posted

    2023-10-31

  • Closing date

    2023-11-07

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    16199

Job Description

 

 

 

 

 

        

30.10.2023

 

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.

 

 

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA  

 FUNDI UMEME.

 

Tunatangaza nafasi moja ya FUNDI UMEME

 

SIFA ZA MWOMBAJI : -

  1. Awe amesoma chuo cha VETA na kupatiwa cheti cha ufundi.
  2. Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili.
  • Awe Mtanzania mwenye kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
  1. Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  2. Umri usizidi miaka 30.
  3. Awe mwaminifu na mchapa kazi.

 

 

TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA YAKO KWENYE ;

Email ; [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03.11.2023

Interested in this job?

This job has expired

Share this opportunity

Help others find their dream job

Generate Cover Letter

Login as a candidate to generate a free AI cover letter for this job

Apply for this job

Your full application — including your cover letter, phone number, email, and CV — will be sent directly to the employer's inbox. You will also receive a confirmation email.

Cancel
Send message
Cancel