Arafa Ahmed
About me
“Mimi ni dalali huru wa kuaminika niliyepo Goba, Dar es Salaam. Ninajishughulisha na utafutaji pamoja na masoko ya magari mazuri ya kutembelea (used na mapya), viwanja, na nyumba za kupanga au kununua. Lengo langu ni kuwaunganisha wanunuzi na mali bora zenye bei nafuu na uhakika wa kisheria. Ukihitaji huduma ya haraka, uwazi, na uaminifu maeneo ya Goba, Mbezi Beach, Tegeta na Dar nzima, wasiliana nami wakati wowote.”
