Emmanuel Palapala
About me
Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka miwili na miezi kadha katika kuendesha magari
madogo na ya kati. Nina leseni hai na halali daraja B na D, nafahamu vizuri sheria za barabarani
Nimwaminifu, mwenye nidhamu na nina uwezo wa kufanya kazi kwa usimamizi mdogo huku niki hakikisha ufanisi na salama wa kuaminika.
