Rajab Ramadhani

IT Support & Network Technician

About me

Nina ujuzi katika IT Support, Computer Maintenance na Networking, nikiwa na uwezo wa kufanya troubleshooting za mifumo ya kompyuta, ku-configure network pamoja na kusaidia watumiaji kutatua changamoto za kiufundi. Nina uzoefu wa kufanya kazi zinazohusiana na teknolojia kupitia mafunzo na exposure niliyopata kutoka TTCL Corporation. Ni mtu mwenye bidii, anayejifunza kwa haraka, mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhakikisha huduma za IT zinafanya kazi kwa ufanisi. Niko tayari kutumia ujuzi wangu kusaidia ukuaji na mafanikio ya taasisi au kampuni nitakayopata nafasi ya kufanya kazi.

Send message
Cancel