Shabani Abdallah Mgwadu
About me
Mimi ni kijana mwenye bidii, mwaminifu, mchapakazi na mwenye uwezo mzuri wa mawasiliano, huduma kwa wateja, mauzo na utangazaji kupitia mitandao ya kijamii. Nina uzoefu katika ulinzi, huduma kwa wateja, mauzo na kazi za kujitolea.
