Veronica Ngonyani
About me
Hoteli.
Nilifanya kazi ya Mapokezi hoteli mbalimbali hapo awali,Nina ujuzi wa kuwahudumia wateja na kuwasaidia watu. Nazungumza Kiswahili na Kiingereza vizuri.
Nina uaminifu, bidii na niko tayari kuanza kazi wakati wowote.
