Job Role Insights

  • Date posted

    2023-11-03

  • Closing date

    2023-11-03

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    female

Job Description

03.11.2023

 

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.

 

 

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA 

  MTUNZA FEDHA (CASHIER).

 

Tunatangaza nafasi moja ya MTUNZA FEDHA (CASHIER).

 

SIFA ZA MWOMBAJI : -

  1. Awe anajua mahesabu ipasavyo na umakini wa hali juu
  2. Awe na uwezo wa kutumia programu zote za kompyuta.
  • Awe na uwezo wa kuandaa na kutoa risiti.
  1. Awe na uwezo wa kutumia EFD machine.
  2. Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
  3. Awe na uwezo wa kupokea na kuhudumia wateja
  • Awe na kauli nzuri kwa wateja.
  • Awe mkazi wa Dar Es Salaam na wanawake watapewa kipaumbele zaidi.
  1. Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
  2. Umri usizidi miaka 30.

 

 

 

TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA.

Email ; [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10.11.2023

Interested in this job?

0 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

Apply for this job

Cancel
Apply now
Send message
Cancel