CASHIER
Job Role Insights
-
Date posted
2023-11-03
-
Closing date
2023-11-03
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
female
Job Description
03.11.2023
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA
MTUNZA FEDHA (CASHIER).
Tunatangaza nafasi moja ya MTUNZA FEDHA (CASHIER).
SIFA ZA MWOMBAJI : -
- Awe anajua mahesabu ipasavyo na umakini wa hali juu
- Awe na uwezo wa kutumia programu zote za kompyuta.
- Awe na uwezo wa kuandaa na kutoa risiti.
- Awe na uwezo wa kutumia EFD machine.
- Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
- Awe na uwezo wa kupokea na kuhudumia wateja
- Awe na kauli nzuri kwa wateja.
- Awe mkazi wa Dar Es Salaam na wanawake watapewa kipaumbele zaidi.
- Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
- Umri usizidi miaka 30.
TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA.
Email ; [email protected]
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10.11.2023
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job