Job Role Insights

  • Date posted

    2023-10-31

  • Closing date

    2023-11-07

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    2 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    16198

Job Description

30.10.2023

 

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.

 

 

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MAPOKEZI (RECEPTIONIST).

 

Tunatangaza nafasi moja ya AFISA MAPOKEZI (RECEPTIONIST).

 

SIFA ZA MWOMBAJI : -

  1. Awe na uwezo wa kutumia programu zote za kompyuta.
  2. Awe na muonekano mzuri na wakuvutia.
  • Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
  1. Awe na uwezo wa kupokea na kuhudumia wateja
  2. Awe na kauli nzuri kwa wateja .
  3. Awe uwezo mzuri wa kutumia na kuweka picha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
  • Awe mkazi wa Dar Es Salaam wa wilaya ya kinondoni,ilala na temeke.
  • Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
  1. Umri usizidi miaka 30.

 

 

 

TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA.

Email ; [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03.11.2023

Interested in this job?

This job has expired

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

Apply for this job

Your full application — including your cover letter, phone number, email, and CV — will be sent directly to the employer's inbox. You will also receive a confirmation email.

Cancel