Kuitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 25/01/2026
Job Role Insights
-
Date posted
2026-01-26
-
Closing date
2026-02-08
-
Hiring location
Tanzania
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
127236
Job Description
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI NA AJIRA MPYA
Tarehe: 25 Januari, 2026 Mahali: Dodoma
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anapenda kuwataarifu waombaji kazi kufuatia kukamilika kwa usaili wa nafasi mbalimbali zilizotangazwa tarehe 17 Novemba, 2025.
TAARIFA KUU
- Waombaji walioorodheshwa wamefaulu usaili na wamechaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.
MAAGIZO KWA WALIOCHAGULIWA
- Barua za Ajira: Wahusika wote watatumiwa barua zao za ajira kupitia barua pepe (email) zao.
- Maelekezo: Waajiriwa wapya wanapaswa kufuata maelekezo yote yatakayotolewa ndani ya barua hizo.
KWA AMBAO MAJINA YAO HAYAKUTOKEA
- Wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.
IMETOLEWA NA:
Lydia Churi Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
View the full list here
12 days left to report
Share this opportunity
Help others find their dream job
