POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 50 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-01-08
-
Closing date
2025-01-20
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Degree Diploma
-
Experience
1 Year
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
Job Description
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) - 50 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa.
- Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza
- Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika
- Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili
- Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii.
- Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii.
- Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo.
- Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira.
- Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
REMUNERATION: Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y
Interested in this job?
5 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job