Job Role Insights

  • Date posted

    2025-05-20

  • Closing date

    2025-06-03

  • Hiring location

    Kagera

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    2 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: DEREVA VIVUKO DARAJA LA II - 2 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-20 2025-06-03

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
  • Kuchunga usalama wa abiria na magari yaliyomo ndani ya mashua/vivuko
  • Kupanga abiria au magari kwenye mashua/vivuko
  • Kuendesha na kuongoza mashua/vivuko
  • Kutunza daftari za safari ya mashua/vivuko vi.Kuhakikisha kwamba injini za vivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi
  • na vii.Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi.  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa Waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne, wenye ujunzi wa kuendesha na kutunza mashua/vivuko uliothibitishwa na Chuo cha Dar es salaam Marine Institute au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili; na waliofuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye mashua/vivuko.

REMUNERATION: TGOS A

Interested in this job?

14 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel