Nafasi za Kazi 46 Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-05-20

  • Closing date

    2026-06-01

  • Hiring location

    Zanzibar

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Degree Diploma

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    132337

Job Description

The Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar (Ministry of Agriculture, Irrigation, Natural Resources and Livestock) is the Revolutionary Government of Zanzibar's principal body responsible for driving agricultural transformation, ensuring food security, and managing natural resources on the islands.

The total number of job posts listed here for the Ministry of Agriculture, Irrigation, Natural Resources and Livestock (Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo) is 46 posts.

Job TitlePosts
Pemba Openings
Afisa Msaidizi Kilimo (Assistant Agriculture Officer)4
Afisa Kilimo (Agriculture Officer)3
Afisa Msaidizi Mifugo (Assistant Livestock Officer)2
Afisa Miradi (Project Officer)1
Afisa Mipango (Planning Officer)1
Asifa Usafiri (Transport Officer)1
Mhandisi Umwagiliaji (Irrigation Engineer)1
Afisa Misitu (Forestry Officer)1
Unguja Openings
Afisa Msaidizi Kilimo (Assistant Agriculture Officer)10
Pump Operator5
Mhandisi Uboreshaji wa Mitaro (Drainage Improvement Engineer)2
Surveyor2
Afisa Uchumi na Kilimo Biashara (Agricultural Economics & Agribusiness Officer)2
Afisa Mazingira (Environmental Officer)2
Afisa Misitu (Forestry Officer)2
Afisa Maabara ya Mifugo (Livestock Laboratory Officer)2
Msanifu Ujenzi (Architect)1
Mhandisi Ujenzi (Civil Engineer)1
AFISA MIPANGO (Planning Officer)1
AFISA HABARI MSAIDIZI (Assistant Information Officer)1
Mhandisi Maji (Water Engineer)1
Mhandisi Utunzaji wa Mazao na Mavuno (Post-Harvest Management Engineer)1
AFISA MPIMAJI MISITU / G.I.S (Forestry Surveyor / GIS Officer)1
AFISA NYUKI (Beekeeping Officer)1
TOTAL POSTS46

WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO ZANZIBAR

Vacancies: 24  |  Latest closing: Jun 1, 2026 Apply

Afisa Miradi-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-06

Duties and Responsibilities

  • KUFANYA UCHAMBUZI WA HALI HALISI (SITUATION ANALYSIS)
  • KURATIBU MIPANGO YA WIZARA/TAASISI/IDARA
  • KURATIBU MPANGO WA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI KATIKA SEKTA MBALI MBALI
  • KUTAYARISHA MAPENDEKEZO YA SERA NA MIRADI KATIKA SEKTA MBALIMBALI PAMOJA NA MALENGO YA UTEKELEZAJI WAKE
  • KUCHAMBUA NA KUFANYA MAJUMUISHO YA MIRADI YA WANANCHI

Qualifications

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2.    Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Mipango na Usimamizi wa Miradi  kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

Afisa Mipango-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-06

Duties and Responsibilities

  • Kupitia na kuchambua mpango wa miaka mitano wa Rasilimali Watu;
  • Kupitia uwezo wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma;
  • Kuainisha mahitaji ya ziada katika Utumishi wa Umma;
  • Kutayarisha Ikama;
  • Kutayarisha taarifa ya utekelezaji wa kazi ikiwemo robo, nusu na mwaka;
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Mipango au Uchumi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position

Asifa Usafiri (T.O)-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • Kuwa msimamizi mkuu wa vyombo vya usafiri katika Wizara.
  • Kutoa ushauri kwa Wizara,  kwa kufuata sera ya usafiri.
  • Kuratibu na kushauri kuhusu mifumo mbali mbali ya kifedha katika sekta ya usafiri, ikiwemo utozaji wa kodi, upangaji wa bei na nauli kwa huduma za usafiri kwa kuzingatia aina ya huduma na makundi mbali mbali ya watumiaji.
  • Kusimamia maendeleo ya taaluma  za usafiri katika fani zote zinazohitajika kutoa huduma ya usafiri.
  • Kusimamia mfumo wa sheria, kanuni na taratibu za kuendeleza sekta ya usafiri.
  • Kuhakikisha mazingira ya kisheria na udhibiti wa sekta ya usafiri yanaendana  mikataba ya kikanda na kimataifa katika masuala ya usafiri.
  • Kuvitunza na kuvihifadhi vyombo vyote vya usafiri.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Usafirishaji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

Mhandisi Umwagiliaji-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • 1.Kushiriki katika kuandaa miongozo na viwango vya upatikanaji wa
  • taarifa za kihidrojia na hydrojiolojia.
  • 2.Kusaidia kuratibu matayarisho ya Mpango jumuishi wa Usimamizi
  • wa Rasilimali Maji (Intergrated Water Resource Management Plan).
  • 3.Kuunganisha Mipango ya Kisekta na maendeleo ya Rasilimali Maji.
  • 4.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Rasilimali Maji.
  • 5.Kutoa elimu ya usimamizi na uendelezaji Rasilimali Maji.
  • 6.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu  na  mwaka.
  • 7.Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1.Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi wa Maji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

Afisa Kilimo-PEMBA

Posts: 3  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • KUANDAA NYARAKA ZINAZOTUMIKA KATIKA UKUSANYAJI NA UTAYARISHAJI WA TAKWIMU ZA UZALISHAJI WA MAZAO
  • KUKUSANYA TAKWIMU ZA UPATIKANAJI NA UZALISHAJI WA MAZAO KATIKA MASOKO KILA WIKI AMA MWEZI
  • KUKUSANYA TAARIFA ZINAZOTUMIKA KATIKA UKAGUZI WA UBORA WA MATUMIZI YA PEMBEJEO NA ZANA ZA KILIMO
  • KUKAA NA WAKULIMA KWA LENGO LA KUPOKEA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKULIMA NCHINI NA KUWASILISHA KUNAKOHUSIKA
  • KUANDAA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA KAZI IKIWEPO RIPOTI YA ROBO, NUSU NA MWAKA

Qualifications

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ya Kilimo mjumuisho  (extension) kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya mapinduzi zanzibar

Apply for this position

Afisa Misitu-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • Kufuatilia taarifa mbali mbali zinazohusu hali ya misitu.
  • Kushiriki katika kuhamasisha uanzishwaji wa vikundi vya uhifadhi wa misitu.
  • Kuwaelimisha wananchi juu ya matumizi endelevu ya maliasili ya misitu na mazao yake.
  • Kuuanda mapango wa ukaguzi wa misitu ya kiasili na ya kigeni na maeneo ya hifadhi.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Misitu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

Afisa Msaidizi Mifugo-PEMBA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-01

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kupanga ratiba na kutoa ushauri na huduma kwa wafugaji.
  • Kushiriki katika kutoa ushauri kwa wakulima juu ya ufugaji bora
  • Kufanya ukaguzi wa  nyama machinjioni
  • Kusaidia kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Stashahada ya Afya ya Wanyama (Veterinary Medicine) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position

Afisa Msaidizi Kilimo-PEMBA

Posts: 4  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSD-03

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kutoa ushauri na kuonesha kwa vitendo kuhusu mbinu mbali mbali za kilimo cha kisasa kwa wakulima Vijijini.
  • Kukusanya Takwimu za mazao vijijini
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa za maendeleo ya kilimo vijijini
  • Kushajihisha wakulima kushiriki kutekeleza mambo mbali mbali ya kilimo yanayopangwa na Serikali/Wizara ya kilimo.
  • Kusaidia kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Kilimo Mjumuisho (General Agriculture) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

Msanifu Ujenzi-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • 1. Kusanifu Majengo
  • 2. Kuandaa mpango wa Usanifu
  • 3. Kubuni Michoro nakueka kumbukumbu za majengo
  • 4. Kuhakikisha Wizara inakidhi Viwango bora vya usanifu katika ujenzi

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Msanifu Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MHANDISI UJENZI-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • 1. Kusimamia shuhuli za ujenzi katika Wizara
  • 2. Kuandaa Makisio ya ujenzi
  • 3. Kushauri namna bora ya ununuaji wa vifaa vya ujenzi

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Uhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

AFISA MIPANGO-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-06

Duties and Responsibilities

  • Kupitia na kuchambua mpango wa miaka mitano wa Rasilimali Watu;
  • Kupitia uwezo wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma;
  • Kuainisha mahitaji ya ziada katika Utumishi wa Umma;
  • Kutayarisha Ikama;
  • Kutayarisha taarifa ya utekelezaji wa kazi ikiwemo robo, nusu na mwaka;
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Mipango kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

AFISA HABARI MSAIDIZI-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSD-03

Duties and Responsibilities

  • 1.Kusaidia kutayarisha na kupitia vipeperushi na matangazo ya kuitangaza Taasisi.
  • 2.Kusaidia uwekaji wa kumbukumbu za matukio muhimu ya Taasisi.
  • 3.Kusaidia kupiga picha za mnato na  picha za video.
  • 4.Kusaidia utunzaji wa picha, Maktaba na marejeo.
  • 5.Kusaidia utayarishaji wa vipindi, Makala na vielelezo vyengine.
  • 6.Kusaidia uandaaji wa  majarida na mabango (Posters).
  • 7.Kusaidia ukusanyaji wa takwimu mbalimbali zinazohusu habari.
  • 8. Kusaidia kukusanya maoni, kusikiliza hoja za wananchi, kuzifanyia uchuguzi na kuziwasilisha kwenye mamlaka husika kwa lengo lakufanyiwa kazi.
  • 9. Kuandika ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na  mwaka.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Stashahada ya Habari na mawasiliano  kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

MHANDISI UBORESHAJI WA MITARO-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • Kukusanya   Takwimu za uzalishaji kwa njia za umwagiliaji wa maji.
  • Kushiriki katika uhamasishaji wa matumizi ya kilimo cha umwaligaji.
  • Kuhamasisha uanzishwaji wa vikundi vya kilimo cha uwagiliaji maji.
  • Kukusanya taarifa zitazotumika katika ukaguzi wa miundombinu ya umwagiliaji.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi wa Umwagiliaji maji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

MHANDISI MAJI-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • 1.Kushiriki katika kuandaa miongozo na viwango vya upatikanaji wa
  • taarifa za kihidrojia na hydrojiolojia.
  • 2.Kusaidia kuratibu matayarisho ya Mpango jumuishi wa Usimamizi
  • wa Rasilimali Maji (Intergrated Water Resource Management Plan).
  • 3.Kuunganisha Mipango ya Kisekta na maendeleo ya Rasilimali Maji.
  • 4.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Rasilimali Maji.
  • 5.Kutoa elimu ya usimamizi na uendelezaji Rasilimali Maji.
  • 6.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu  na  mwaka.
  • 7.Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Maji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

PUMP OPERATOR-UNGUJA

Posts: 5  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSB-06

Duties and Responsibilities

  • 1. kushiriki katika kazi za ufundi
  • 2. kumsaidia mhandisi kazi za usambazaji maji
  • 3. kushiriki katika utowaji wa elimu ya umwagiliaji kwa wakulima
  • 4. kufanya kazi yoyote atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Mafunzo ya Ufundi Bomba kwa ngazi ya Cheti kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position

SURVEYOR-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • Kuchunguza na kusimamia ardhi inayohitajika kwa ajili ya kuendelezwa.
  • Kufanya kazi katika maeneo tofauti ambayo yatahusisha kilimo.
  • Kusimamia na kutoa ushauri juu ya miradi yote inayosimamiwa na Wizara.
  • Kutengeneza Ramani kwa kutumia vifaa vya kufanyia saveya.
  • Kutoa taarifa za uchunguzi a kuchora michoroya taarifa hizo kwa kutumia komputa.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya 'Land Surveying' kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MHANDISI UTUNZAJI WA MAZAO NA MAVUNO-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • KUANDAA NYARAKA ZINAZOTUMIKA KATIKA UKUSANYAJI NA UTAYARISHAJI WA TAKWIMU ZA UZALISHAJI WA MAZAO
  • KUKUSANYA TAKWIMU ZA UPATIKANAJI NA UZALISHAJI WA MAZAO KATIKA MASOKO KILA WIKI AMA MWEZI
  • KUKUSANYA TAARIFA ZINAZOTUMIKA KATIKA UKAGUZI WA UBORA WA MATUMIZI YA PEMBEJEO NA ZANA ZA KILIMO
  • KUKAA NA WAKULIMA KWA LENGO LA KUPOKEA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKULIMA NCHINI NA KUWASILISHA KUNAKOHUSIKA
  • KUANDAA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA KAZI IKIWEPO RIPOTI YA ROBO, NUSU NA MWAKA

Qualifications

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi wa utunzaji mazao baada ya mavuno kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya mapinduzi zanzibar

Apply for this position

AFISA UCHUMI NA KILIMO BIASHARA-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • Kukusanya Takwimu na taarifa mbali mbali za Kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa Sera na Mipango ya Kiuchumi na kijamii.
  • Kufanya utafiti juu ya masuala mbali mbali yatokanayo na utekelezaji wa Sera za Uchumi.
  • Kufanya ufafiti na uchambuzi wa Sera na vigezo vya Uchumi.
  • Kushiriki katika utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika.
  • Kukusanya taarifa na Takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya ustawi na maendeleo ya jamii.
  • Kushiriki katika kuchambua na kutafsiri (interpret) Takwimu na taarifa mbali mbali za Kiuchumi.
  • Kukusanya taarifa zinazohusu ushirikiano wa kimataifa, biashara ya kimataifa, misaada na madeni ya nchi.
  • Kufanya uchambuzi wa mienendo ya ushirikiano wa Kimataifa, biashara ya nje, misaada na madeni.
  • Kuchambua mwenendo wa sekta binafsi nchini.
  • Utekelezaji na uratibu wa Mipango na shughuli za kichumi.
  • Kukusanya taarifa na Takwimu zinazohitajika katika kutayarisha Miradi ya maendeleo.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sayansi ya Uchumi na Kilimo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

AFISA MAZINGIRA-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • Kupitia mikakati kwa shughuli za udhibiti wa uchafuzi/uharibifu wa mazingira.
  • Kushiriki katika kukusanya taarifa za maafa yanayosababishwa na uchafuzi wa mazingira.
  • Kushiriki katika kusimamia utelkelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni na mikakati ya usimamizi na uhifadhi wa mazingira.
  • Kuandaa taarifa za uhifadhi na usimamizi wa mazingira.
  • Kufanya ukaguzi wa mazingira.
  • Kuelimisha jamii juu ya athari zinazotokana na uchafuzi wa mazingira.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na ripoti ya mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mazingira kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

AFISA MPIMAJI MISITU (G.I.S)-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-08

Duties and Responsibilities

  • Kuchunguza na kusimamia ardhi inayohitajika kwa ajili ya kuendelezwa.
  • Kufanya kazi katika maeneo tofauti ambayo yatahusisha hifadhi ya Misitu.
  • Kusimamia na kutoa ushauri juu ya miradi yote inayosimamiwa na Wizara.
  • Kutengeneza Ramani kwa kutumia vifaa vya kufanyia saveya.
  • Kutoa taarifa za uchunguzi a kuchora michoroya taarifa hizo kwa kutumia komputa.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

1.  Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya "Geoinformatics" kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya mapinduzi Zanzibar

Apply for this position

AFISA NYUKI-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • kukagua na kuthibitisha ya kwamba wanyampori hawaathiriwi kiholela
  • Kujenga imani kwa wananchi ya kwamba Wanyamapori wanastahiki kutunzwa.
  • Kuwasaidia wananchi kupanga utaratibu mzuri wa uwindaji wa Wanyamapori.
  • Kuhakikisha ya kwamba wavunaji wa Wanyamapori wanafuata Sheria.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.

Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Ufugaji Nyuki  kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

AFISA MISITU-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSF-02

Duties and Responsibilities

  • Kufuatilia taarifa mbali mbali zinazohusu hali ya misitu.
  • Kushiriki katika kuhamasisha uanzishwaji wa vikundi vya uhifadhi wa misitu.
  • Kuwaelimisha wananchi juu ya matumizi endelevu ya maliasili ya misitu na mazao yake.
  • Kuuanda mapango wa ukaguzi wa misitu ya kiasili na ya kigeni na maeneo ya hifadhi.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Misitu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

AFISA MAABARA YA MIFUGO-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSG-09

Duties and Responsibilities

  • Kupima sampuli za kimaabara ya kisayansi mbali mbali
  • Kuchukua na Kukusanya sampuli mbali mbali za mifugo zinazotakiwa kufanyiwa majaribio.
  • Kuweka kumbukumbu za matokeo ya majaribio yaliyofanyika.
  • Kuandika ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya tathmini ya sampuli zilizokusanywa
  • Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya  Maabara ya Mifugo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

AFISA MSAIDIZI KILIMO-UNGUJA

Posts: 10  |  Closing: Jun 1, 2026 Apply  |  Period: 20/05/2026 - 01/06/2026  |  Scale: ZPSD-03

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kutoa ushauri na kuonesha kwa vitendo kuhusu mbinu mbali mbali za kilimo cha kisasa kwa wakulima Vijijini.
  • Kukusanya Takwimu za mazao vijijini
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa za maendeleo ya kilimo vijijini
  • Kushajihisha wakulima kushiriki kutekeleza mambo mbali mbali ya kilimo yanayopangwa na Serikali/Wizara ya kilimo.
  • Kusaidia kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake

Qualifications

1. Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.

2. Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Kilimo  kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Apply for this position

Interested in this job?

12 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

Generate Cover Letter

Login as a candidate to generate a free AI cover letter for this job

How to Apply

Apply now