Nafasi za Kazi 2 Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar
Job Role Insights
-
Date posted
2026-07-01
-
Closing date
2026-07-14
-
Hiring location
Zanzibar
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Diploma
-
Experience
2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
136747
Job Description
The total number of job posts listed here for the Public Service Commission (Kamisheni ya Utumishi wa Umma) is 2 posts in July 2026.
| Job Title | Posts |
| Afisa Kumbukumbu Msaidizi Daraja la III (Assistant Records Officer Grade III) | 2 |
| TOTAL POSTS | 2 |
KAMISHENI YA UTUMISHI WA UMMA
Vacancies: 1 | Latest closing: Jul 14, 2026 Apply
Afisa Kumbukumbu Msaidizi Daraja la III-UNGUJA
Posts: 2 | Closing: Jul 14, 2026 Apply | Period: 30/06/2026 - 14/07/2026 | Scale: ZPSG-02
Duties and Responsibilities
- Majukumu
- Kutunza mafaili na kumbukumbu zote za Taasisi.
- Kupokea na kurikodi nyaraka za ndani na nje ya Taasisi.
- Kusaidia katika kutunza na kuhifadhi nyaraka za ndani na nje ya Taasisi.
- Kuhakikisha mafaili yanawekwa katika sehemu husika.
- Kuchambua na kuorodhesha mafaili katika buku la kumbukumbu.
- Kupokea na kutunza taarifaza wafanyakazi wa Taasisi.
- Kushughulikia maombi kutoka Taasisi nyengine za Serikali.
- Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu.
- Kutunza siri zinazohusiana na utendaji kazi wa ndani na nje ya Taasisi.
- Kuandika ripoti za utekelezaji wa kazi za kila siku.
- Kufanya kazi nyengine kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
Awe amehitimu Stashahada (diploma) katika fani ya Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Asiwe muajiriwa wa Serikali ya SMZ/SMT
Interested in this job?
13 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job
Powered by JobChat
