Kuitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 25/01/2026

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-01-26

  • Closing date

    2026-02-08

  • Hiring location

    Tanzania

  • Quantity

    10 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    127236

Job Description

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI NA AJIRA MPYA

Tarehe: 25 Januari, 2026 Mahali: Dodoma

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anapenda kuwataarifu waombaji kazi kufuatia kukamilika kwa usaili wa nafasi mbalimbali zilizotangazwa tarehe 17 Novemba, 2025.

TAARIFA KUU

  • Waombaji walioorodheshwa wamefaulu usaili na wamechaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.

MAAGIZO KWA WALIOCHAGULIWA

  • Barua za Ajira: Wahusika wote watatumiwa barua zao za ajira kupitia barua pepe (email) zao.
  • Maelekezo: Waajiriwa wapya wanapaswa kufuata maelekezo yote yatakayotolewa ndani ya barua hizo.

KWA AMBAO MAJINA YAO HAYAKUTOKEA

  • Wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.

IMETOLEWA NA:

Lydia Churi Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

View the full list here

12 days left to report

View Names

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

View Names
Send message
Cancel