Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Kilindi 22-06-2026
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 24/06/2026, na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Havitakubaliwa na hawataruhusiwa kuendelea na usaili. Aidha, kila msailiwa […]
